BAADA ya Bodi ya Ligi kutoa tamko la kuanza tena Ligi Kuu mwanzoni mwa mwezi ujao, Kocha Mkuu wa JKT Tanzania, Ahmad Ally ...
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM wamebainisha kukubali na kuridhishwa na uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa, Stephen Wasira katika uchaguzi uliofanyika jijini Dodoma.
Aliyekuwa Waziri wa Nishati, ambaye ni Mbunge wa Bumbuli, January Makamba amesema Steven Wasira kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa ni sahihi kwani amekulia katika misingi ya chama.
ERLING Haaland ametia saini mkataba mpya uliovunja rekodi wa miaka tisa na nusu katika klabu ya Manchester City, klabu hiyo imetangaza. Mshambuliaji huyo alikuwa chini ya mkataba hapo Etihad hadi 2027 ...
MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga, jana walishindwa kutinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kulazimishwa suluhu na wageni MC Alger ya Algeria katika mchezo wa raundi ya sita, ...