Yanga ina asilimia 95 ya kutetea taji lake msimu huu, hasa baada ya Azam kuambulia sare na JKT Ruvu na kupokwa pointi 3 baada ya kumchezesha Erasto Nyoni dhidi ya Mbeya City, aliyekuwa na kadi 3 za ...