Nchini Tanzania katika mkoa wa Arusha wilayani Monduli, mzee mwenye zaidi ya miaka 100 ana watoto zaidi ya 70 na wajukuu 300. Mzee Meshuko Ole Mapi, almaarufu Mzee Laibon, amelazimika kuwa na shule ...