Israel imeionya Hamas kuwa itaanzisha tena operesheni zake za kijeshi huko Gaza ikiwa kundi hilo la wapiganaji wa Palestina "halitawarudisha mateka ifikapo Jumamosi." Hilo limezua wasiwasi mpya kwa ...
Wapalestina katika Ukanda wa Gaza wamepata sababu ya kusherehekea kufuatia makubaliano ya kusitisha mapigano na mpango wa kuachiliwa kwa mateka. Hata hivyo, wengi wao bado wanaogopa kukabiliana na ...
Rais Donald Trump wa Marekani amewapa wanamgambo wa Kipalestina siku nne tu wawe wameshakubaliana na mpango wake wa kusitisha mapigano kwenye Ukanda wa Gaza, vyenginevyo akiwatishia kwa kile ...
Shirika la utangazaji la Marekani la NBC News limesema utawala wa Rais Donald Trump unashughulika na mpango wa “kuhamisha Wapalestina milioni moja daima kutoka Ukanda wa Gaza kwenda Libya.” NBC pia ...
"Haya yote yanakutana," kimesema chanzo cha kidiplomasia cha Ufaransa. Maoni kutoka kwa mkutano kati ya Donald Trump na nchi kadhaa za Kiarabu kwenye Umoja wa Mataifa siku ya Jumanne, Septemba 23, ...
Makubaliano kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran yaliyopitishwa katika mji wa Vienna, Austria, na nchi zenye nguvu pamoja na Iran Jumanne Julai 14 yamehitimisha miaka ya mvutano kati ya Jamhuri ya ...
Rais wa Panama Jose Raul Mulino anasema amemwambia Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio kwamba mamlaka ya Mfereji wa Panama yanabaki kwa Panama. Pia amesema makubaliano na China juu ya ...